Template:Welcome/i18n/sw
Hatua zetu za ziara ya kwanza na FAQ itakusaidia sana baada ya kujisajili. Zinaelezea jinsi ya kupanga kusano vile upendavyo (kwa mfano lugha), namna ya kupakia mafaili na msingi wa sera yetu ya hatimiliki. Huhitaji maarifa ya kiufundi ili uweze kuchangia hapa. Kuwa mjasiri changia hapa na uwe na imani nzuri kwa ajili ya wengine. Hii ni wiki—ni rahisi kweli. You don't need technical skills in order to contribute here. Be bold when contributing and assume good faith when interacting with others. This is a wiki. Maelezo zaidi yanapatika katika ukurasa wa lango la jumuia. Unaweza kuuliza maswali katika dawati la msaada, ukurasa wa jumuia au kwenye idhaa ya IRC ya #wikimedia-commons (fursa ya moja kwa moja). Pia unaweza kuwasiliana na msimamizi (mtafute anayepatikana) katika kurasa zao za majadiliano. Ikiwa una swali mahususi kuhusiana na hakimiliki, uliza katika Commons talk:Licensing. |
|